Washkaji Podcast

“Story na Washkaji” is a podcast series scheduled to release every two weeks across various social media and podcast platforms. We believe in the wealth of stories our friends have to share, ranging from struggles to triumphs, narratives that inspire, educate, and uplift others. Each episode will explore a new relevant topic, featuring an expert who is a friend, providing valuable insights. Our aim with these podcast series is to offer a platform for these voices to resonate further. Acknowledging the significance of our viewpoints, we also highly regard the thoughts and contributions of young individuals on current social matters. #washkajitunaongea #WashkajiDrivingPodcast #WashkajiPodcast .

Listen on:

  • Apple Podcasts
  • Podbean App
  • Amazon Music
  • iHeartRadio
  • PlayerFM
  • Podchaser
  • BoomPlay

Episodes

Sunday May 12, 2024

Afya ya Akili imezungumziwa kwa kina, Faida na Umuhimu wa Wanaume kufunguka na kuzungumzia yanayowasibu kwa uwazi, namna ya kutengeneza mazingira rafiki kwa afya ya akili bila kusahau Afya ya akili kama funguo kuu kwenye mahusiano....unahitaji nini ili kuwa na Afya bora ya akili kwa Mahusiano yako kusonga.
Kupitia Podcast hii Daktari Kijana na Machachari Maymuna Mohammed ameeleza kwa kina
#AfyaYaAkili #Akili #Afya #MentalHealth #Relationships #Health #Wanaume

Sunday Apr 28, 2024

Mjasiriamali wa Teknolojia, TAYARI App.

Saturday Apr 13, 2024

#WashkajiTunaongea! Kuhusu Siri za Mafanikio Kazini, Ujuzi wa ziada mbali na taaluma, Maandalizi ya Kustaafu na mengine kadhaa kwa ajili ya Kazi ya ndoto yako!.
#WashkajiDrivingPodcast #washkajiPodcast #Mvumbagumo #SwahiliPodcast 

Wednesday Mar 06, 2024

Tohara ya hiyari kwa Mwanaume: Ni umri gani sahihi wa kufanya Mwanaume kufanyiwa Tohara/ kukata Mkono wa Sweta?

Thursday Feb 22, 2024

Una ndoto au Unahitaji kuingia nchini Marekani?
Kuna Uvumi mwingi unasambaa kuhusu namna au njia sahihi ya kupata Viza ya Kuingia Nchini Marekani,
Kupitia Podcast hii, tumekuletea afisa wa Ubalozi anayeshughulika na masuala ya Visa akitoa ufafanuzi kamili.
 

Thursday Feb 22, 2024

SIMULIZI: FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR
Ushiriki wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. 
Vifahamu Vikwazo, Changamoto na Mafanikio ya zoezi zima la uandaaji wa filamu hii hadi kuzinduliwa kwake.

Wednesday Feb 21, 2024

Maadhimisho ya Siku ya Dr. Martin Luther King Jr.
Mwanzo wa Maisha ya Harakati, Mafanikio na Mwisho wa uhai wa Dr. Martin Luther King Jr.

Wednesday Feb 21, 2024

Historia ya MAYA ANGELOU

Wednesday Feb 21, 2024

UBALOZINI LEO: Miaka 60 ya Uhusiano wa Kibalozi baina ya Tanzania na Marekani

Copyright 2024 All rights reserved.

Podcast Powered By Podbean

Version: 20240731